ANGALIZO la upepo mkali unaofikia kilomita 40 kwa saa na mawimbi makubwa yanayofikia mita 2 limetolewa kwa baadhi ya maeneo ya ukanda wote wa pwani ya bahari ya Hindi (mikoa ya Tanga, Dar es Salaam, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia), Lindi na Mtwara pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba). UWEZEKANO WA KUTOKEA: WASTANI KIWANGO CHA ATHARI ZINAZOWEZA KUTOKEA: WASTANI Athari zinazoweza kujitokeza: Kuathirika kwa baadhi ya shughuli za kiuchumi, uvuvi na usafirishaji baharini. Zingatia na jiandae.
Wakazi wa maeneo hatarishi wanashauriwa kuchukuwa hatua stahiki ikiwa ni pamoja na kuzingatia na kujiandaa.
Предупрежденията за тежки метеорологични условия се предоставят на meteoblue от повече от 80 официални агенции в цял свят. meteoblue не носи никаква отговорност по отношение на действителното съдържание или естество на предупрежденията. Проблемите могат да бъдат докладвани чрез нашия Формуляр за обратна връзка и ще бъдат предадени на съответните инстанции.