ANGALIZO la upepo mkali unaofikia kilomita 40 kwa saa limetolewa kwa baadhi ya maeneo ya ukanda wa pwani ya kaskazini mwa bahari ya Hindi (mikoa ya Tanga, Dar es Salaam na Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia)) pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba). UWEZEKANO WA KUTOKEA: WASTANI KIWANGO CHA ATHARI ZINAZOWEZA KUTOKEA: WASTANI Athari zinazoweza kujitokeza: Kuathirika kwa baadhi ya shughuli za kiuchumi, uvuvi na usafirishaji baharini. Zingatia na jiandae.
Wakazi wa maeneo hatarishi wanashauriwa kuchukuwa hatua stahiki ikiwa ni pamoja na kuzingatia na kujiandaa.
Avertizările de vreme severă sunt furnizate către meteoblue de peste 80 de agenții oficiale din întreaga lume. meteoblue nu își asumă nicio responsabilitate privind conținutul sau natura avertizărilor. Problemele pot fi raportate prin intermediul formularului nostru de feedback și vor fi transmise instituțiilor competente.