ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa kwa maeneo machache ya mikoa ya Tanga, Dar es salaam, Morogoro, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia) pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba. UWEZEKANO WA KUTOKEA: WASTANI KIWANGO CHA ATHARI ZINAZOWEZA KUTOKEA: WASTANI Athari zinazoweza kujitokeza: Baadhi ya makazi kuzungukwa na maji. Zingatia na jiandae.
Wakazi wa maeneo hatarishi wanashauriwa kuchukuwa hatua stahiki ikiwa ni pamoja na kuzingatia na kujiandaa.
ADVISORY of heavy rain is issued over few areas of Tanga, Morogoro, Dar es salaam and Pwani (including Mafia isles) regions together with Unguja and Pemba. isles Likelihood:MEDIUM Impact: MEDIUM Impacts expected: Localized floods over few areas. Please be prepared.
The Residents of high risk areas are advised TO TAKE preventive measures. TMA will continue to monitor the situation and issue updates when necessary.
Предупреждения о неблагоприятной погоде передаются в meteoblue более чем 80 официальными агентствами по всему миру. meteoblue не несет никакой ответственности за фактическое содержание или характер предупреждений. О проблемах можно сообщить через нашу форму обратной связи, и они будут переданы в соответствующие инстанции.