ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa kwa maeneo machache ya mikoa ya Tanga, Dar es salaam, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia) pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba. UWEZEKANO WA KUTOKEA: WASTANI KIWANGO CHA ATHARI ZINAZOWEZA KUTOKEA: WASTANI Athari zinazoweza kujitokeza: Baadhi ya makazi kuzungukwa na maji. Zingatia na jiandae.
Wakazi wa maeneo hatarishi wanashauriwa kuchukuwa hatua stahiki ikiwa ni pamoja na kuzingatia na kujiandaa.
ANGALIZO la upepo mkali unaofikia kilomita 40 kwa saa na mawimbi makubwa yanayofikia mita 2 limetolewa kwa baadhi ya maeneo ya ukanda wote wa pwani ya bahari ya Hindi (mikoa ya Tanga, Dar es Salaam, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia), Lindi na Mtwara pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba). UWEZEKANO WA KUTOKEA: WASTANI KIWANGO CHA ATHARI ZINAZOWEZA KUTOKEA: WASTANI Athari zinazoweza kujitokeza: Kuathirika kwa baadhi ya shughuli za kiuchumi, uvuvi na usafirishaji baharini. Zingatia na jiandae.
Wakazi wa maeneo hatarishi wanashauriwa kuchukuwa hatua stahiki ikiwa ni pamoja na kuzingatia na kujiandaa.
ADVISORY of strong winds reaching 40km/hr and large waves reaching 2m issued for some areas along the entire coast of Indian ocean (Tanga, Dar es salaam, Pwani (including Mafia isles), Lindi and Mtwara regions together with Unguja and Pemba isles). Likelihood:MEDIUM Impact: MEDIUM Impacts expected: Disruption of some economic and marine activities. Please be prepared.
The Residents of high risk areas are advised TO TAKE preventive measures. TMA will continue to monitor the situation and issue updates when necessary.
ADVISORY of heavy rain is issued over few areas of Tanga, Dar es salaam and Pwani (including Mafia isles) regions together with Unguja and Pemba. isles Likelihood:MEDIUM Impact: MEDIUM Impacts expected: Localized floods over few areas. Please be prepared.
The Residents of high risk areas are advised TO TAKE preventive measures. TMA will continue to monitor the situation and issue updates when necessary.
Предупреждения о неблагоприятной погоде передаются в meteoblue более чем 80 официальными агентствами по всему миру. meteoblue не несет никакой ответственности за фактическое содержание или характер предупреждений. О проблемах можно сообщить через нашу форму обратной связи, и они будут переданы в соответствующие инстанции.