ANGALIZO la upepo mkali unaofikia kilomita 40 kwa saa na mawimbi makubwa yanayofikia mita 2 limetolewa kwa baadhi ya maeneo ya ukanda wote wa pwani ya bahari ya Hindi (mikoa Tanga,Dar es Salaam, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia, Morogoro, Lindi na Mtwara pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba). UWEZEKANO WA KUTOKEA: WASTANI KIWANGO CHA ATHARI ZINAZOWEZA KUTOKEA: WASTANI Athari zinazoweza kujitokeza: Kuathirika kwa baadhi ya shughuli za kiuchumi, uvuvi na usafirishaji baharini. Zingatia na jiandae.
Wakazi wa maeneo hatarishi wanashauriwa kuchukuwa hatua stahiki ikiwa ni pamoja na kuzingatia na kujiandaa.
ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa kwa maeneo machache ya mikoa ya Tanga, Dar es Salaam, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia, Morogoro, Lindi na Mtwara pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba. UWEZEKANO WA KUTOKEA: WASTANI KIWANGO CHA ATHARI ZINAZOWEZA KUTOKEA: WASTANI Athari zinazoweza kujitokeza: Baadhi ya makazi kuzungukwa na maji. Zingatia na jiandae.
Wakazi wa maeneo hatarishi wanashauriwa kuchukuwa hatua stahiki ikiwa ni pamoja na kuzingatia na kujiandaa.
ADVISORY of heavy rain is issued over few areas of Tanga, Dar es Salaam, Pwani (including Mafia isles, Morogoro, Lindi and Mtwara regions together with Unguja and Pemba Isles. Likelihood: MEDIUM Impact: MEDIUM Impact expected: Localized floods over few areas. Be prepared.
The Residents of high risk areas are advised TO TAKE preventive measures. TMA will continue to monitor the situation and issue updates when necessary.
Предупреждения о неблагоприятных погодных условиях поступают в meteoblue от более чем 80 официальных агентств по всему миру. meteoblue не несёт ответственности за фактическое содержание или характер этих предупреждений. О проблемах можно сообщить через нашу форму обратной связи; информация будет передана соответствующим инстанциям.