TAHADHARI ya upepo mkali unaozidi kilomita 40 kwa saa na mawimbi makubwa yanayozidi mita 2, imetolewa kwa baadhi ya maeneo ya ukanda wa ziwa Victoria (mikoa ya Kagera, Geita, Mwanza, Mara na Simiyu) UWEZEKANO WA KUTOKEA: MKUBWA. KIWANGO CHA ATHARI ZINAZOWEZA KUTOKEA: WASTANI. Athari zinazoweza kujitokeza: Kuathirika na kughairishwa kwa baadhi ya shughuli za baharini na kuharibika kwa miundombinu ya bahari. CHUKUA HATUA.
Wakazi wa maeneo hatarishi wanashauriwa kuchukuwa hatua stahiki ikiwa ni pamoja na kuzingatia na kujiandaa.
Više od 80 službenih agencija diljem svijeta daje meteoblueu upozorenja o teškim vremenskim prilikama. meteoblue ne snosi nikakvu odgovornost u pogledu stvarnog sadržaja ili prirode upozorenja. Problemi se mogu prijaviti putem našeg obrasca za povratne informacije i bit će proslijeđeni odgovarajućim instancama.