ANGALIZO ya upepo mkali unaofikia kilomita 40 kwa saa na mawimbi makubwa yanayofikia mita 2, limetolewa kwa baadhi ya maeneo ya ukanda wa pwani ya bahari ya Hindi (mikoa ya Dar es salaam, Pwani(ikihusisha visiwa vya Mafia), Tanga, Lindi na Mtwara pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba). UWEZEKANO WA KUTOKEA: WASTANI. KIWANGO CHA ATHARI ZINAZOWEZA KUTOKEA: WASTANI. Athari zinazoweza kujitokeza: Kuathirika kwa baadhi ya shughuli za kiuchumi, uvuvi na usafirishaji baharini. ZINGATIA NA JIANDAE.
Wakazi wa maeneo hatarishi wanashauriwa kuchukuwa hatua stahiki ikiwa ni pamoja na kuzingatia na kujiandaa.
ამინდის მკაცრი გაფრთხილებები meteoblue-ს აწვდის მსოფლიოს 80-ზე მეტ ოფიციალურ სააგენტოს. meteoblue არ არის პასუხისმგებელი გაფრთხილებების რეალურ შინაარსთან ან ბუნებასთან დაკავშირებით. პრობლემების შესახებ შეტყობინება შესაძლებელია ჩვენი გამოხმაურების ფორმის მეშვეობით და გადაეცემა შესაბამის ინსტანციებს.