ANGALIZO la upepo mkali unaofikia kilomita 40kwa saa limetolewa kwa baadhi ya maeneo ya ukanda wote wa pwani ya Bahari ya Hindi(mikoa ya Lindi, Mtwara, Tanga, Dar es Salaam na pwani(ikijumuisha visiwa vya mafia) pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba). UWEZEKANO WA KUTOKEA: WASTANI KIWANGO CHA ATHARI ZINAZOWEZA KUTOKEA: WASTANI Athari zinazoweza kujitokeza: Kuathirika kwa baadhi ya shughuli za kiuchumi, uvuvi na usafirishaji baharini. Zingatia na jiandae.
Wakazi wa maeneo hatarishi wanashauriwa kuchukuwa hatua stahiki ikiwa ni pamoja na kuzingatia na kujiandaa.

Waarschuwingen voor extreem weer worden aan meteoblue geleverd door meer dan 80 officiële instanties wereldwijd. meteoblue aanvaardt geen enkele verantwoordelijkheid voor de feitelijke inhoud of aard van de waarschuwingen. Problemen kunnen worden gemeld via ons feedbackformulier en worden doorgestuurd naar de juiste instanties.