ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa kwa maeneo machache ya mikoa ya Rukwa, Songwe, Mbeya, Njombe, Iringa, Ruvuma, Katavi na Kusini mwa mkoa wa Morogoro. UWEZEKANO WA KUTOKEA: WASTANI KIWANGO CHA ATHARI ZINAZOWEZA KUTOKEA: WASTANI Athari zinazoweza kujitokeza: Baadhi ya makazi kuzungukwa na maji. Zingatia na jiandae.
Wakazi wa maeneo hatarishi wanashauriwa kuchukuwa hatua stahiki ikiwa ni pamoja na kuzingatia na kujiandaa.
ADVISORY of heavy rain is issued over few areas of Rukwa, Songwe, Mbeya, Njombe, Iringa, Ruvuma, Katavi regions and southern part of Morogoro region. Likelihood: MEDIUM Impact: MEDIUM Impact expected: Localized floods over few areas. Be prepared.
The Residents of high risk areas are advised TO TAKE preventive measures. TMA will continue to monitor the situation and issue updates when necessary.
Упозорења на опасне временске појаве meteoblue-у доставља више од 80 званичних агенција широм света. meteoblue не сноси никакву одговорност за стварни садржај или природу упозорења. Проблеми се могу пријавити путем нашег формулара за повратне информације и биће прослеђени надлежним институцијама.