ANGALIZO ya upepo mkali unaofikia kilomita 40 kwa saa na mawimbi makubwa yanayofikia mita 2, limetolewa kwa baadhi ya maeneo ya ukanda wa ziwa Viktoria (mikoa ya Kagera, Geita, Simiyu na Mara). UWEZEKANO WA KUTOKEA: WASTANI. KIWANGO CHA ATHARI ZINAZOWEZA KUTOKEA: WASTANI. Athari zinazoweza kujitokeza: Kuathirika kwa baadhi ya shughuli za kiuchumi, uvuvi na usafirishaji baharini. ZINGATIA NA JIANDAE.
Wakazi wa maeneo hatarishi wanashauriwa kuchukuwa hatua stahiki ikiwa ni pamoja na kuzingatia na kujiandaa.
Varování před nepříznivým počasím poskytuje meteoblue více než 80 oficiálních agentur po celém světě. meteoblue nenese žádnou odpovědnost za skutečný obsah nebo povahu varování. Problémy můžete nahlásit prostřednictvím našeho formuláře zpětné vazby a budou předány příslušným instancím.