ANGALIZO la mvua kubwalimetolewa kwa maeneo machache ya mikoa ya Tanga, Dar es salaam, Morogoro, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia), Lindi na Mtwara pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba. UWEZEKANO WA KUTOKEA: WASTANI KIWANGO CHA ATHARI ZINAZOWEZA KUTOKEA: WASTANI Athari zinazoweza kujitokeza: Baadhi ya makazi kuzungukwa na maji. Zingatia na jiandae.
Wakazi wa maeneo hatarishi wanashauriwa kuchukuwa hatua stahiki ikiwa ni pamoja na kuzingatia na kujiandaa.
Más de 80 organismos oficiales de todo el mundo proporcionan avisos de tiempo severo a meteoblue. meteoblue no asume ninguna responsabilidad en cuanto al contenido o la naturaleza de los avisos. Cuestiones y problemas se pueden comunicar a través de nuestro Formulario de comentarios y se transmitirán a las instancias correspondientes.