ANGALIZO la mawimbi makubwa yanayofikia mita 2 limetolewa kwa baadhi ya maeneo ya ukanda wa kaskazini wa pwani ya bahari ya Hindi (mikoa ya Tanga, Dar es Salaam na Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia), pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba). UWEZEKANO WA KUTOKEA: WASTANI KIWANGO CHA ATHARI ZINAZOWEZA KUTOKEA: WASTANI Athari zinazoweza kujitokeza: Kuathirika kwa baadhi ya shughuli za kiuchumi, uvuvi na usafirishaji baharini. Zingatia na jiandae.
Wakazi wa maeneo hatarishi wanashauriwa kuchukuwa hatua stahiki ikiwa ni pamoja na kuzingatia na kujiandaa.
TAHADHARI ya upepo mkali unaozidi kilomita 40 kwa saa na mawimbi makubwa yanayozidi mita 2, imetolewa kwa baadhi ya maeneo ya ukanda wote wa pwani ya bahari ya Hindi (mikoa ya Tanga, Dar es Salaam, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia), Lindi na Mtwara pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba). UWEZEKANO WA KUTOKEA: WASTANI KIWANGO CHA ATHARI ZINAZOWEZA KUTOKEA: KUBWA Athari zinazoweza kujitokeza: Kuathirika kwa baadhi ya shughuli za kiuchumi, uvuvi na usafirishaji baharini. Zingatia na jiandae.
Wakazi wa maeneo hatarishi wanashauriwa kuchukuwa hatua stahiki ikiwa ni pamoja na kuzingatia na kujiandaa.
WARNING of strong wind exceeding 40km/hr and large waves exceeding 2m is issued for some areas along the entire coast of the Indian ocean (Tanga, Dar es salaam, Pwani (including Mafia isles), Lindi and Mtwara regions together with Unguja and Pemba isles). Likelihood:MEDIUM Impact: HIGH Impacts expected: Disruption of some economic and marine activities.
The Residents of high risk areas are advised TO TAKE preventive measures. TMA will continue to monitor the situation and issue updates when necessary.
ADVISORY of large waves reaching 2m is issued for some areas along the northern coast of Indian ocean (Tanga, Dar es salaam, Pwani (including Mafia isles) regions together with Unguja and Pemba isles). Likelihood:MEDIUM Impact: MEDIUM Impacts expected: Disruption of some economic and marine activities.
The Residents of high risk areas are advised TO TAKE preventive measures. TMA will continue to monitor the situation and issue updates when necessary.
Varovania pred nepriaznivým počasím poskytuje meteoblue viac ako 80 oficiálnych agentúr po celom svete. meteoblue nenesie žiadnu zodpovednosť za skutočný obsah alebo povahu varovaní. Problémy môžete nahlásiť prostredníctvom nášho formulára spätnej väzby a budú postúpené príslušným inštanciám.