ANGALIZO la upepo mkali unaofikia kilomita 40 kwa saa na mawimbi makubwa yanayofikia mita 2 limetolewa kwa baadhi ya maeneo ya ukanda wote wa pwani ya bahari ya Hindi (Mikoa ya Tanga, Dar es Salaam, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia), Lindi na Mtwara pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba) na ukanda wa ziwa Nyasa (mikoa ya Njombe, Ruvuma na Mbeya). UWEZEKANO WA KUTOKEA: WASTANI KIWANGO CHA ATHARI ZINAZOWEZA KUTOKEA: WASTANI Athari zinazoweza kujitokeza: Kuathirika kwa baadhi ya shughuli za kiuchumi, uvuvi na usafirishaji baharini. Zingatia na jiandae.
Wakazi wa maeneo hatarishi wanashauriwa kuchukuwa hatua stahiki ikiwa ni pamoja na kuzingatia na kujiandaa.
ADVISORY of strong winds reaching 40km/hr and large waves reaching 2m is issued for some areas along the entire coast of Indian ocean (Tanga, Dar es salaam, Pwani (including Mafia isles), Lindi and Mtwara regions together with Unguja and Pemba isles) and along lake Nyasa (Njombe, Ruvuma and Mbeya regions). Likelihood: MEDIUM Impact: MEDIUM Impacts expected: Disruption of some economic and marine activities. Please be prepared.
The Residents of high risk areas are advised TO TAKE preventive measures. TMA will continue to monitor the situation and issue updates when necessary.
Предупрежденията за тежки метеорологични условия се предоставят на meteoblue от повече от 80 официални агенции в цял свят. meteoblue не носи никаква отговорност по отношение на действителното съдържание или естество на предупрежденията. Проблемите могат да бъдат докладвани чрез нашия Формуляр за обратна връзка и ще бъдат предадени на съответните инстанции.