ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa kwa maeneo machache ya mikoa ya Kigoma, Tabora na Katavi. UWEZEKANO WA KUTOKEA: WASTANI KIWANGO CHA ATHARI ZINAZOWEZA KUTOKEA: WASTANI Athari zinazoweza kujitokeza: Baadhi ya makazi kuzungukwa na maji. Zingatia na jiandae.
Wakazi wa maeneo hatarishi wanashauriwa kuchukuwa hatua stahiki ikiwa ni pamoja na kuzingatia na kujiandaa.
TAHADHARI ya mvua kubwa imetolewa kwa maeneo machache ya mikoa ya Kagera, Geita, Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Mara, Rukwa, Mbeya, Songwe, Kigoma, Tabora na Katavi. UWEZEKANO WA KUTOKEA: WASTANI KIWANGO CHA ATHARI ZINAZOWEZA KUTOKEA: KUBWA Athari zinazoweza kujitokeza: Baadhi ya makazi kuzungukwa na maji. Chukua tahadhari.
Wakazi wa maeneo hatarishi wanashauriwa kuchukuwa hatua stahiki ikiwa ni pamoja na kuzingatia na kujiandaa.
Severe weather warnings are provided to meteoblue by more than 80 official agencies worldwide. meteoblue does not bear any responsibility regarding the actual content or nature of the warnings. Issues can be reported through our Feedback form and will be transmitted to the appropriate instances.