TAHADHARI ya mvua kubwa imetolewa kwa maeneo machache ya mikoa ya Kagera, Geita, Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Mara, Arusha, Kilimanjaro, Manyara, Singida, Dodoma, Rukwa, Songwe, Mbeya, Iringa na Njombe. UWEZEKANO WA KUTOKEA: WASTANI KIWANGO CHA ATHARI ZINAZOWEZA KUTOKEA: KUBWA Athari zinazoweza kujitokeza: Baadhi ya makazi kuzungukwa na maji. Chukua tahadhari.
Wakazi wa maeneo hatarishi wanashauriwa kuchukuwa hatua stahiki ikiwa ni pamoja na kuzingatia na kujiandaa.
TAHADHARI ya mvua kubwa imetolewa kwa maeneo machache ya mikoa ya Kagera, Geita, Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Mara, Rukwa, Mbeya, Songwe, Kigoma, Tabora na Katavi. UWEZEKANO WA KUTOKEA: WASTANI KIWANGO CHA ATHARI ZINAZOWEZA KUTOKEA: KUBWA Athari zinazoweza kujitokeza: Baadhi ya makazi kuzungukwa na maji. Chukua tahadhari.
Wakazi wa maeneo hatarishi wanashauriwa kuchukuwa hatua stahiki ikiwa ni pamoja na kuzingatia na kujiandaa.
Gli avvisi di maltempo sono forniti a meteoblue da più di 80 agenzie ufficiali in tutto il mondo. meteoblue non si assume responsabilità riguardo all'effettivo contenuto o alla natura degli avvisi. Problemi e questioni possono essere segnalati attraverso il nostro Modulo di feedback e saranno trasmessi alle istanze appropriate.