ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa kwa maeneo machache ya mikoa ya Katavi, Rukwa, Songwe, Mbeya na Njombe. UWEZEKANO WA KUTOKEA: WASTANI KIWANGO CHA ATHARI ZINAZOWEZA KUTOKEA: WASTANI Athari zinazoweza kujitokeza: Baadhi ya makazi kuzungukwa na maji. Zingatia na jiandae.
Wakazi wa maeneo hatarishi wanashauriwa kuchukuwa hatua stahiki ikiwa ni pamoja na kuzingatia na kujiandaa.
Wetterwarnungen werden von mehr als 80 offiziellen Stellen weltweit an meteoblue übermittelt. meteoblue trägt keine Verantwortung für den Inhalt oder die Art der Warnungen. Probleme können über unser Feedback-Formular gemeldet werden und werden dann an die entsprechenden Stellen weitergeleitet.