ANGALIZO la Mawimbi makubwa yanayofikia mita 2 limetolewa kwa baadhi ya maeneo ya ukanda wa pwani ya kaskazini mwa bahari ya Hindi ( mikoa ya Tanga, Dar es salaam na Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia) pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba) UWEZEKANO WA KUTOKEA: WASTANI KIWANGO CHA ATHARI ZINAZOWEZA KUTOKEA: WASTANI Athari zinazoweza kujitokeza: Kuathirika kwa baadhi ya shughuli za kiuchumi, uvuvi na usafirishaji baharini. Zingatia na jiandae.
Wakazi wa maeneo hatarishi wanashauriwa kuchukuwa hatua stahiki ikiwa ni pamoja na kuzingatia na kujiandaa.
Wetterwarnungen werden von mehr als 80 offiziellen Stellen weltweit an meteoblue übermittelt. meteoblue trägt keine Verantwortung für den Inhalt oder die Art der Warnungen. Probleme können über unser Feedback-Formular gemeldet werden und werden dann an die entsprechenden Stellen weitergeleitet.